sw - USD
teresa Mutheu

teresa Mutheu

5.00 (1)
Kenya
2 Wanafunzi
2 Vikao
0 Kozi
Kuweka bei $1.35 - $10.76
Anafundisha:
Christian Religious Education(C.R.E), Kiswahili, Kusoma
Anazungumza:
Kiswahili(Ngumu), Kiingereza(Ngumu)

Kuhusu teresa Mutheu

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika kufundisha Kiswahili, nikishughulikia vipengele vyote viwili vya Lugha na Fasihi kwa wanafunzi wa Junior Secondary School (JSS) na Senior School. Katika kipindi chote cha huduma yangu, nimefanikiwa kupanga na kusimamia mchakato wa ujifunzaji kwa ufanisi, huku nikitumia mbinu mbalimbali za ufundishaji zinazomshirikisha mwanafunzi kikamilifu.
Nina uwezo wa kuandaa mazingira bora ya kujifunzia yanayochochea ushiriki, ubunifu na fikra pevu za wanafunzi. Hutumia mbinu mbalimbali za ufundishaji, zikiwemo majadiliano, kazi za vikundi, uigizaji, matumizi ya teknolojia na tathmini endelevu ili kufanya ujifunzaji uwe wa kuvutia, wenye tija na unaokidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo tofauti. Lengo langu ni kuhakikisha kila mwanafunzi anapata maarifa, stadi na kujiamini katika matumizi ya Kiswahili.

Kuweka bei

Kufundisha masomo
Christian Religious Education(C.R.E) $1.35
Kiswahili $1.35
Kusoma $1.35

Utaalam wa kufundisha

  • Kiingereza cha Kenya
  • Elimu ya Juu/ Elimu ya Juu
  • Shule ya Sekondari/Sekondari ya Juu
  • Shule ya Sekondari Msingi
  • Shule ya Msingi/Msingi
  • Mazoezi ya Kuandika
  • Mipango ya Masomo
  • Mazoezi ya Kusoma
  • Nyenzo za Kujifunza
  • Maswali/Majaribio
  • kazi ya nyumbani
  • Tathmini ya Ustadi
  • Mtaala
  • KCSE
  • KNEC(Certificate/Diploma)
  • KJSEA
  • KPSEA
  • Watu wazima (miaka 18+)
  • Vijana (miaka 13-17)
  • Watoto (miaka 4-12)

Sifa za kufundisha

Elimu
2015 - 2018
Bachelor's in education arts

Mount Kenya university

Kenya

Uthibitisho
2009 - 2013
KCSE

Kaani lion's secondary school

Kenya

2020 - 2022
Higher diploma in counselling psychology

Serein education centre

Kenya

Uzoefu wa kazi
2024 - 2026
Teacher

Fountain of grace academy

Nairobi

Upatikanaji wa Walimu

Kagua

5.00

Ukadiriaji wa jumla
  • 5
    100%
  • 4
    0%
  • 3
    0%
  • 2
    0%
  • 1
    0%

Somo la majaribio mara moja